MIRADI YA MAENDELEO

 

Kila mdau wa huduma mbalimbali na umisionari katika Jimbo Kuu la Songea hujitahidi kuanzisha miradi mbalimbali kwa ajili

ya kuinua hali ya watu kwa njia ya mikakati na harakati mbalimbalil za kichungaji, za maendelo ya jamii na ya uchumi nk. Kati
ya mipango hiyo mbalimbali ni kama ifuatavyo.
 
KAZI ZA UCHUNGAJI:

Shughuli moja muhimu ya Jimbo kiuchungaji ni kujenga makanisa ya vigangoni ili kuimarisha imani ya waumini walioko katika vijiji mbalimbali. Kati ya kazi za ujenzi wa vigango ni:Kigango cha Luyangweni katika Parokia ya Litapwasi, Kazi hii inasimamiwa na kugharimiwa na Wamisionari wetu Wabenedikti wa Peramiho. Kigango cha Mchomoro katika Parokia ya Namtumbo, upande wa Mashariki ya Jimbo , katika barabara ya Lindi, kama km 100 toka Songea mjini. Kigango cha Mateka katika Parokia ya Matogoro, Ukumbi wa sala Msalamala katika Bombambili, Ukarabati wa Kanisa la Parokia Kitanda, Ujenzi wa Nyumba ya Mapadre katika Parokia za Ligera na Mjimwema. Wamisionari Waaugustiniani wanajishughulisha na maandalizi ya kujenga parokia ya Madaba. Wanatarajia kuanza msingi mwaka huu 2004. Wamisionari Wavinsenti wa Bombambili wanakamilisha ujenzi wa Ukumbi wa sala na chekechea katika Kigango cha Masigira katika Parokia ya Bombambili. Tunawashukuru sana wahisani wetu wa Parokia ya Kitanda kwa kuungamkono juhudi za waumini wa huko katika ukarabati wa Kanisa.

 

Ni kijiji chenye wakazi wakatoliki kama 500 hivi. Wanaposali ndipo hapo. Ni Mipeta katika parokia Ndongosi, mapakani na Jimbo la Mbinga. Katika picha ni Fr. Martin Mlelwa aliyewasili kwa ajili ya Misa Takatifu. a Vikanisa kama hivi ambavyo karibu vinaanguka vipo mahali kadhaa hapa Jimboni. Tumjengee Bwana nyumba bora ya sala Kanisa na nyumba ya Padre katika Parokia ya Ifinga zina hali ya uchakavu. Ni vema kuanza kazi mwaka huu 2004 ya kukarabati.
 
HUDUMA ZA ELIMU
The on going construction and Building of the Centenary Secondary School in Songea township. This is a project undertaken by the office of the Archbishop. It is a two story building. So far the first floor is almost complete. We have to start with the second. While we continue with the construction work, we shall nevertheless start operating by recruiting Form One students in the old building where we had prepared two class rooms.
The building of the Library and Dormitory for the Seminarians of Form V and VI in Lighano Seminary. For lack of funds we had to stop this work just at the foundations. We had started also to build the stable for the cows of the seminary. We finished with the walls but failed to get funds to finish the roofing.
Chipole Sisters are still struggling to finish the buildings of the Girls Secondary School. Thanks to God, through many benefactors they have managed to finish with classrooms, with dormitories, and soon they will complete the building of the Refectory. On 22nd January, the day after St. Agnes Feast, we blessed the buildings to allow the 380 girls to enter the premises. They are now schooling in the new buildings.
The Daughters of Mary Immaculate Sisters are intending to start building a Polytechnic School in Songea town in the area of Mshangano. Before that, on 12th February they will inaugurate a Computer learning centre near the Diocesan Youth Centre in Songea.
While the Archdiocese, in collaboration with other dioceses, will continue animating the people to collect funds for the establishment of SAUT at Iringa, we shall continue studying the possibility of getting organisations interested in establishing a college or colleges for various degrees here in Songea.
 
Mradi wa Umeme wa Maji, Ruvuma-Lupilu

Masista wa Shirika letu la Jimbo, yaani Masista Wabenediktine wa Mt. Agnes nyumba ya Chipole, licha ya umasikini wao na hali yao duni, wameazimia na wanakazana sana kutafuta misaada ya hali, fedha na mapenzi mema kwa ajili ya kufanikisha ujenzi wa mradi wao wa umeme kwa njia ya nguvu za maji. Wameanza kujenga mitambo hiyo juu ya mto Ruvuma, karibu na shamba lao la Lupilu. Maandalizi ya mradi huu yalianza mwaka 2003 kwa kusafisha mazingira ya mahali pa mradi, kusafisha njia ya mto, kuandaa kokoto, kulima barabara, kuchimba mfereji wa kupitishia waya za umeme nk. Mwaka huu 2004 wameingia hatua ya pili. Kwa kuingia mkataba na kampuni mmoja ya Wachina huko Dar Es Salaam, kampuni hiyo ipo tayari Ruvuma wakiwa wameanza kazi ya kujenga ukuta wa Bwawa la maji yatakayoendesha mitambo ya umeme. Kazi ilianza mwezi Mei, na sasa inaendelea vizuri sana. Tunamwomba kila mmoja wenu atuombee na ikiwezekana atusaidie kwa mchango wowote ule ili tufanikishe azma hiyo ya kupata umeme. Mradi huu wa umeme ni kwa ajili ya kuleta maendeleo ya umeme katika vijiji vya Lusonga, Chipole na Magagura. Kwetu sisi mradi huu ni harakati za kujikwamua toka katika zama na enzi za giza ili tuingie katika zama za nuru na mwanga. Mpaka sasa katika Jimbo letu huduma za umeme hupatikana mahali pa tatu tu: mjini Songea, Peramiho na Wino. Maparokia, shule zetu, zahanati zetu, na vijiji vyetu vyote ni katika giza bado. Umeme kwa ajili ya mwanga na kwa ajili ya miundo mbinu ya kazi mbalimbali utatuletea mapinduzi ya kujikomboa na utatuwezesha sana kutoa huduma na kuleta maendeleo kwa watu.

 

Kazi ilianza na kusafisha njia ya mto Ruvuma kwa ajili ya ujenzi wa Dam.

Ni mradi wa Masista . Marafiki na wahisani wanawasaidia. Tushikamane na tusaidiane kwa ajili ya vizazi vijavyo. .

Bw. Robert Fuchs wa Switzerland ndiye wa kwanza na wa pekee mpaka sasa aliyewaunga mkono masista katika mradi huu

 

Kazi ngumu inaanza. Kwa msaada wa Mungu tutaweza.
Mchina ameanza kazi yake Wafanyakazi wanamwaga nzege Dam inaanza kusimama katikati ya mto Ruvuma Msingi wa Nyumba ya Trubina unachimbwa Nyumba ya turbine budi iwe paleee!
 
MIRADI INAYOHUSU AFYA
 
KAZI ZINAZOHUSU KILIMO
This year we shall launch a Tractor Hire Service Project whereby village farmers can borrow our tractors for cultivation, harrowing, collecting their harvested crops, etc. We have five Tractors in place for this project. We are convinced that the empowerment of the simple farmer will lead to great and secure social emancipation. Moreover, through our youth program which is going on in Mahiwa, Msalaba Mkuu, we shall visit farmers in some villages to teach them on sustainable agriculture and cheap cost house construction. The Diocese is also working hard in the line of selfsupport through agricultural projects. The Administration of the Diocese has opened a 47 Acres maize farm in Lipaya Village and an orchard for various fruits in Ngondime near Ruhuwiko. In Liganga farm we are raising about 200 heads of cattle. Fr. Xaver Komba, Parish priest of Mjimwema has made great efforts in planting trees in almost all the villages of Songea and Mjimwema Parishes. He has also opened a tobacco farm of 13 acres as well as some acres of rice padies. We would like to start a coffee farm in the highlands of the Archdiocese i.e. in Wino area.

 

UPASHANAJI HABARI KWA NJIA YA RADIO MARIA

     
 
 
 

Mifugo ya Masista wa Chipole. Kizizi cha Ruvuma.

Kilimo cha majaluba ya Mpunga katika kijiji cha Namatuhi Village

 

 

Shamba la mahindi la Jimbo lililopo Lipaya

 

 

 

MENGINEYO
For water: Boreholes in various villages, the HEIFER project for providing a cow per family for milk to improve the health of our people and of families.